RSS

PENDO LANGU

29 Nov

Kwa Mpenzi wangu wa dhati Dora,

Leo niliamka na mawazo mengi akilini juu ya kunyamaza kwako!! Naelewa kwamba sijaonyesha effort kuyarekebisha makosa yangu uliyoyakana tangu tuzungumze wiki uliyopita!! Nasema pole mpenzi. Ntajaribu vilivyo!

Nimekuwa katika mkutano tangu saa tatu asubuhi, nimechoka kamapunda aliyevuta lori akiwa mjaa mzito. 71973_1663987127741_1479120589_31626031_8196979_n

Tukiyazingatia vitu venye uzito, wikendi uliopita mimi na marafiki na familia tulienda safari fupi na nia ya kupumzika na kujuana vema. Kama kweli kulikuwa na usondo ya kutosha!! Dora, unakumbuka nilipokuelezea mimi sinyui pombe? Haya basi, baada ya miaka moja na mwezi moja, nilijaribu pombe kwa sababu ya mawazo mbali mbali. Nilipoanza kulewa, nikakumbuka hizo sababu zote zilizonifanya nikaache pombe. Niliterereka na kuteseka nilipoanza kuyaona majitu zangu!! Mengi kuliko hayo nikumbushe tutakapokutana nikuelezee!! Lo Loooo!

Tukiangalia vitu vingine, mimi hushinda nimeshangaa maisha yangu yanaelekea wapi!! Jana usiku kabla nilale nilishambuliwa na mawazo haya! Nilijinyoosha katika godoro langu nakuyai-analyze kitambo (the past!!hahah) Sikuyajiba swali lolote niliojiuliza manake ni kucrazy!!! 

Dora mpenzi, kabla niyauharibu lugha huu huu, nitakomea hapa, angalau hata mimi nirudi kazini.Nakupenda na sijiskii nakuacha kuongea nawe, lakini mpenzi nikuulizee, Nikifukuzwa kazi tutakula penzi???

Na hayo mafupi, niruhusu nimalizie hapa barua huu hapa. 

Usisahau kamwe upendo mkubwa wangu kwako sa hii na milele.

 

Advertisements
 
2 Comments

Posted by on November 29, 2010 in Uncategorized

 

2 responses to “PENDO LANGU

 1. Ruman Kuria

  December 7, 2010 at 1:06 pm

  Heh Jaherana! You have outdone yourself!

   
 2. allumerlalumiere

  January 4, 2014 at 10:31 am

  Kiswahili chako hakitakasi lakini ni cha kuchekesha. Kweli, shule hazitusaidii manake wanao weza kuandika chochote kwa Kiswahili sanifu ni wachache. Umenifungua macho kwa wazo hili.

   

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: