RSS

Another Letter From Another Doris

17 Jul

This came in this morning… Another Doris!! By

Niaje mtu nguyaz, nimecheki vile kila m’she anakudai. Kwani kuna Doris wapinga kizee? Sinilidhani ni mimi tu? Ushaa sahau ile siku flani ulikujanga westie hapo sarit na ukanibuyia keroma na beshte yangu? Si nilidhani mimi ndio unapenda bana? Sasa nacheki mara kuna dorcas, sijui doris, mwingine anadai hata ako na wakidi wako wambexe. Sijui itakuwaje mzito. Mwingine ata ashakushow vile chali wa njugu anamdai na bad uko bumper nayeye! Kama madame wanakudai hivi, mimi naona afadhali nijitoe bana. Haina wass!

Lakini sitajitoa virahisi hivyo, matha alinishow roho ya mine ikipenda msee na msee pia ananipenda, nisiwai jitoa hivyo tu, unaniget? So ambia hao madame wengine, hakuna mahali naishia na wewe ni mzito wa me.

Wacha nikushow kitu hunibamaba na wewe, unajua kuwai msee stori hadi anabambika. Story zako za mat hunibamba mbaya.. Kwanza story yako ya kumanga ENO juu haukuwa na fare ilinimaliza mbaya. Nilishow maboy wangu wa uyole hiyo risto jo, na siku hizi hawalipangi fare, umewaokolea mbaya!

Unajua kingoso hunichanga lakini bado uko na mimi, kama hiyo si malovings basi sijui ni nini…

Kwanza nilicheki Easter ulikuwa umeishia coasto bana, hata huwezi tuma ki-invite hivi? Enyewe saa zingine wewe hukuwa na za ovyo!

Wacha niache story kibao, niko kwa cyber na nacheki mbao iko karibu kuisha na sina doh ingine. Btw ukatuma ki-mpesa hivi naeza nice mbaya. Oh alafu ukianza hizo letter wee huniandikia, si hapo kwa malovie davi ukuwe unachora na sheng’ itanibamba mbaya!

WAZI JOH!

Advertisements
 
28 Comments

Posted by on July 17, 2012 in guest posts, letters from Doris*

 

28 responses to “Another Letter From Another Doris

 1. Kimani (@Pushkim)

  July 17, 2012 at 3:00 pm

  HAHAHA! I don’t know why but I just pictured Tasha (from Beba Beba) while reading this! But seriously, this Doris atakupeleka mbio ushangae. Nice one.

   
 2. Kendy

  July 17, 2012 at 3:04 pm

  Tht post…Good Lord, I cant!

   
 3. mmnjug

  July 17, 2012 at 3:09 pm

  Mtu wa nguyaz? That phrase always has me ROTF!! Hahahaha!!

   
 4. A_njeri

  July 17, 2012 at 3:12 pm

  Haahaha!!!..

   
 5. Magi

  July 17, 2012 at 3:16 pm

  this is doris!!!! who helped you write this, and why is there no gangari???

   
  • mydeardoris

   July 17, 2012 at 3:55 pm

   I did not write it… I got an email this morning and this was it…

    
 6. deedoris

  July 17, 2012 at 3:18 pm

  must be one of those chiqs ur friend introduced to while on a blind date….those washambas”this doris story is AWESOME!!!…makes all my days…

   
  • mydeardoris

   July 17, 2012 at 3:56 pm

   hahaha! Ghetto! I could hardly understand but I still laughed my ass off!

    
 7. tkimani

  July 17, 2012 at 3:21 pm

  Strooong mtu nguyasss

   
 8. Di

  July 17, 2012 at 3:22 pm

  this is awesome…..waaah very funny

   
 9. tkimani

  July 17, 2012 at 3:23 pm

  I have no idea why I read this post in that ‘tokelezea’ chiq’s voice!!

   
 10. KEN

  July 17, 2012 at 4:04 pm

  nice..of all the Dorises hahaha this is the one..stick to this..hahaha.woooi

   
 11. optimusthe1

  July 17, 2012 at 4:06 pm

  Definitely Tasha voice when reading this……Too funny!

   
 12. iamomsakhulu

  July 17, 2012 at 6:35 pm

  haha..i grasped like 30% of this letter bana… SMH

   
 13. Savvy Kenya (@savvykenya)

  July 18, 2012 at 10:10 am

  Noma sana maze.. hakuna mbrrcha!

   
 14. MinT

  July 18, 2012 at 11:11 am

  Eeeeiy!!! This Doris makes reading deardoris a task banaaa….!!! How does she communicate with Mama and Baba? 🙂

   
 15. proboxsucceed

  July 18, 2012 at 4:50 pm

  Reminds me of that ghetto radio station where I hear nothing from Bonokode and the other guy. Gosh sheng is just too tasking…

   
 16. Gee

  July 19, 2012 at 12:29 pm

  Haha oh my!!ths has killed it at ths rate u wunt get the real doris

   
 17. dallahz

  July 19, 2012 at 3:16 pm

  hahahahahahahaaha ok I read it in beats to get but eeish toto si totois indeed! Must be the chics the you met at Sarit. I read this in shantelle’s (Tokelezea) voice…ina nice mbaya #Idie

   
 18. dorisA1

  July 25, 2012 at 5:08 pm

  eish! will the real doris plz stand up! cz i’m another doris n my letter awaits u in the mailbox hehe..

   
 19. Ketry

  July 26, 2012 at 11:47 am

  Hahahaha…. This is too Hilarious.

   
 20. cheptaboiyot

  July 27, 2012 at 12:45 pm

  imenibamba mbaya…..i like

   

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: