RSS

Kizee

05 Sep

Kizee, manzi wa yours hapa ivi, roho ya me imekuhata mbaya. Kudoze imekuwa ni ngori bana. NikizidI kuwa limbas na wewe nitatupa form. Hii life haina maana bila wewe mzito, mauchungu kibao tu. Ngoso ngimiz ngimiz ndio zako! Punguza kiasi, animz wa you anataka kuwa anasoma kitu simple bana. Mtu nguyaz nakumind deadly… Barua yako ”the amazing goodnight” iliniwai roho mbaya bana… Kubonga story za ma-animz wengine ndio zako. Wewe hudai nirudi mtaani na vile unahema kila mresh. Za ovyo nazo? Na wacha nikuask, mbona wewe uniita ”the other doris?” kunibagua na kunibeba ufala ufala ndio zako. bado hata siamini vile roho ya me haiwachangi malovings za you mzito!

Wolez nimekumbuka ni birthday yako buda, hata ukae furthest na mimi, siwezi kusahau na siwezi sare kukundapez. Nawajus utafanya kibash kama kawa na hautatuma ki-invite joh, so mimi nitawasha kindukulu, ni puff puff pass na wadhii wa mtaani na kamaisha kazidi. Lakini ujue mi hukumind, ni saa tano usiku, na niko hapa na chora ruabas. Na si unajua nangos ya me haiwezi hizi risto za mitambo, nimeomba neiba key ya cyber, kama hii si malovings basi wee nishow.

Alafu nikuulize, hay festival ni vako gani tena? Ngoso kiasi yenye najua, hay ni dema ya ng’ombe, so jaribu uniradishe hii maneno buda…

Sijui nikuchoree kipoem hivi kama birthday gift, wacha nitry…

mpenzi wa me tangu zamo,

umekaa mbali na me na bado nakupenda more,

mara nyingi una za ovyo lakini nakudai hivo hivo,

wanadai mzito ni effort na yako sijaicheki,

love yako inazidi kuwa kiasi nangoja tu ibleki,

haina ngori hata ukiniondoka,

naelewa mi ni-animz wa ghetto na wewe ushaaomoka,

siwezi bishana na wenye looks na karatasi ishaanitoka

nataka ujibambe yako yote,

furaha siku most na noma mara zote

jibonde yako yote, bila ngori hadi usote

shokez pia ni siku, utasaka na utakule fiteh

A very happy birthday Ian.

Advertisements
 
 

Tags:

12 responses to “Kizee

 1. Di

  September 5, 2012 at 1:30 pm

  hay ni dema ya ngombe…..DEAD & BURIED….

   
 2. Savvy Kenya

  September 5, 2012 at 4:08 pm

  This letter is full of love, I could feel it. Plus if that’s her picture, she fits the physical profile of Doris.. yellow yellow with some padding 🙂

   
 3. Lee

  September 5, 2012 at 5:03 pm

  Aaaw! Yaani she actually wrote you a poem in Sheng!!! I love this Doris. Enyewe kama hizi si malovings…then I don’t know what is:D. Happy belated birthday Ian.

   
 4. mmnjug

  September 6, 2012 at 8:18 am

  Hahahaha! Had to get a ‘jamaa wa mtaa’ to expain some of these word to me! Wah!! I still can’t help bursting out in laughter when I hear the phrase, “mtu wa nguyaz” Hahahaha!

   
 5. optimusthe1

  September 6, 2012 at 11:37 am

  The sheng is juz deadly and the poem is full of mapenzi!

   
 6. Blu Kare

  September 7, 2012 at 8:23 am

  This must the best birthday gift Ian has received this year…Someone open up a sheng skul…damn

   
 7. shiru

  September 7, 2012 at 12:54 pm

  In stitches.. happy belated bday Ian. Keep this woman despite the ghetto.

   
 8. OTIENO B.C.

  September 12, 2012 at 10:57 am

  Ian, this here is a true declaration of love ghetto style. Even if she’s the other Doris, hapa she’s laid it out for you.Na ka-poem jo!!!

   
 9. Marura

  September 20, 2012 at 3:07 pm

  That poem is just the one. WHAT!! kama hiyo si malovings ebu tuonyeshe sampuli

   
 10. Newts

  January 10, 2013 at 11:28 pm

  Ajab!

   
 11. disciple254

  June 1, 2014 at 1:02 am

  Eh, tried reading this one but all that could decode was “does not compute”. I do production for tv & your blog’s been giving me ideas. Hmmm.

   
 12. Anne

  August 19, 2014 at 3:18 am

  Wololo….kila kitu okala ka yamo 😛

   

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: